- 21,002 viewsDuration: 1:48Maelfu ya watu wamekwama katika barabara mbali mbali jijini Nairobi na viunga vyake kutokana na msongamano mkubwa uliosababishwa na kufungwa kwa baadhi ya barabara za jiji la nairobi kwa minajili ya mchuano wa chan baina ya timu ya Harambee stars na ile ya Madagasca Kasarani.