Maendeleo ya wanawake kufanya uchaguzi kesho

  • | Citizen TV
    239 views

    Muungano wa maendeleo ya wanawake hapo kesho unaanza uchaguzi wake wa viongozi mbali mbali wa mashinani na mataifa. Mwenyekiti wa bodi ya uchaguzi wa muungano huo ann wambaa, amesema kuwa uchaguzi huu utafanywa kwa wodi 1,450 na utachukua muda wa miezi sita ambapo mwenyekiti wa kitaifa wa chama hicho atachaguliwa