Skip to main content
Skip to main content

Maeneo mbalimbali ya ulimwengu yaandaa sherehe za mwaka mpya

  • | KBC Video
    147 views
    Duration: 2:13
    Kutoka kwa fuo za Pasifik na maeneo ya burudani ya miji mikuu ya ulimwengu, ulimwengu kwa mara nyingine uliukaribisha mwaka mpya. Mwaka mpya wa 2026 uliwasili kwa mbwembwe na sherehe za aina yake duniani kote kutoka mashariki hadi magharibi. Haya yakijiri huku Pope Leo wa kumi na nne akitoa wito kwa jamii ya kimataifa kukumbatia amani. Ripota wetu Aaron Marie, anaangazia jinsi mambo yalivyokuwa katika baadhi ya maeneo ya ulimwengu. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive