Mafundi waliopewa kandarasi ya kutengeneza madawati na Serikali watalipwa wiki hii

  • | KBC Video
    Mafundi waliopewa na serikali kandarasi ya kutengeneza madawati watalipwa wiki hii .Akitangaza hayo,waziri wa elimu professa George Magoha alisema shule nyingi nchini tayari zimepokea madawati hayo.Hayo yamejiri huku waziri akipiga marufuku vieuzi kwenye chupa ndogo ndogo shuleni. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #KBCchannel1 #KBCNewsHour #KBClive