Mafundi zaidi ya 20 kutoka wodi ya Segera kaunti ya Laikipia wahitimu masomo ya kiufundi

  • | Citizen TV
    174 views

    Mafundi zaidi ya 20 kutoka wodi ya Segera kaunti ya Laikipia wamehitimu masomo ya kiufundi yaliyofadhiliwa na shirika la Habitat ambalo linalenga kuwawezesha kujenga mijengo iliyo salama kwa wakazi wa eneo hili.