Mafunzo ambayo Rising Stars walipata baada ya kushiriki dimba la taifa bingwa Barani Afrika

  • | NTV Video
    60 views

    Timu ya taifa ya wachezaji walio chini ya umri wa miaka 20 Rising Stars imejifunza mambo kadhaa, baada ya kushiriki dimba la taifa bingwa Barani Afrika jijini Cairo Misri. Kenya iliandikisha alama moja tu katika Kundi B baada ya kutoka sare ya mabao mawili na Nigeria.

    Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya