Mafunzo ya huduma ya kwanza ya bodaboda

  • | K24 Video
    46 views

    Zaidi ya waendeshaji bodaboda 200 kutoka maeneo tofauti ya Nairobi, wamepata mafunzo kuhusu huduma ya kwanza na ya dharura, ili kuwawezesha kushughulikia visa vya dharura wakiwa barabarani. Zaidi ya wahudumu laki mbili wa boda boda wamelengwa kupewa mafunzo hayo kote nchini.