Mafunzo ya kuimarisha kilimo

  • | West TV
    10 views
    Baada ya shirika la chakula ulimwenguni fao kuweka mkataba na serikali ya kaunti ya bungoma kwa lengo la kuboresha uzalishaji wa chakula na kuimarisha mapato ya wakazi, baadhi ya wakazi katika wadi ya kamukuywa eneo bunge la Kimilili tayari wamejiunga kwenye vikundi na kupokea mafunzo ya namna ya kuimarisha uzalishaji wa chakula