Mafunzo ya mabadiliko ya hali ya anga yazinduliwa kaunti ya Kwale kuimarisha utoshelevu wa chakula

  • | Citizen TV
    568 views

    Mafunzo ya mabadiliko ya hali ya anga yamezinduliwa katika kaunti ya Kwale ili kuimarisha utoshelevu wa chakula. Mradi huo wa miaka mitatu utakaogharimu shilingi milioni 70 unalenga wakulima 25,000 wa maeneo ya Kinango na Samburu-Chengoni watakaoelimishwa kuhusu mbinu za kisayansi za ukulima.