- 760 viewsDuration: 1:51Huduma za usafiri katika barabara ya Marigat kuenda Chemolingot zimelemazwa, baada ya maji kutoka ziwa baringo kusomba sehemu ya barabara hiyo. Kulingana na wakazi, hali imekuwa mbaya kwa miezi miwili huku mvua inayonyesha sasa ikiendelea kuharibu barabara hiyo