Mafuriko ya ziwa Naivasha yahangaisha wakaazi

  • | Citizen TV
    140 views

    Wakaazi Wanaoishi Kwa Mitaa Inayopakana Na Ziwa Naivasha Wamelazimika Kuhama Kwao Baada Ya Kiwango Cha Maji Katika Ziwa Hilo Kuongezeka Na Kusababisha Nyumba Zao Kufurika.