Mafuriko yaendelea kuwahawangaisha wakenya wengi

  • | Citizen TV
    1,644 views

    Maafisa wa usalama wamemuokoa mtoto mwenye umri Wa miaka mitano aliyekuwa amesombwa mafuriko. kwa mujibu wa shirika la msalaba mwekundu, familia zaidi ya elfu Kumi Na moja zimeathitika Na mafuriko kote nchini.