Mafuriko yalemaza uchukuzi kwenye barabara kuu ya Nakuru-Nairobi

  • | KBC Video
    108 views

    Uchukuzi umelemazwa kwenye barabara kuu ya Nakuru-Nairobi baada ya mafuriko kuharibu daraja la Kijabe linalounganisha barabara za Gichiengo Kijabe na Maaimaui.Mafuriko hayo yaliosababishwa na mvua kubwa iliyonyesha jana usiku pia yaliharibu nyumba kadhaa.Kwingineko kamishna wa kaunti ya Baringo Sangolo Kutwa amewashauri wakazi wanaoishi katika maeneo yalio kwenye hatari ya kukumbwa na mafuriko kama vile mlima Tugen kuhamia maeneo salama.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #Kenya #News