Mafuriko yalivoathiri Beledweyne Somalia

  • | BBC Swahili
    1,056 views
    Somalia inakabiliwa na mafuriko mabaya zaidi katika karne, ambayo yameathiri takribani watu milioni 2, na kusababisha vifo vya zaidi ya 100. Maeneo makubwa ya mashamba mesombwa na maji, mali kuharibiwa na miundombinu kuharibika pamoja na mlipuko wa magonjwa yanayotokana na maji. Timu ya BBC imeenda Beledweyne moja ya mikoa iliyoathiriwa zaidi nchini na imezungumza na wakazi walioathirika na mafuriko hayo. #bbcswahili #somalia #mafuriko Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw