Skip to main content
Skip to main content

Mafuriko yaongeza vifo hadi 18, watu 63 hawajulikani waliko

  • | Citizen TV
    2,625 views
    Duration: 2:39
    Idadi ya watu waliofariki kutokana na mafuriko imefikia watu 18, baada ya watu watatu zaidi kufariki. Aidha, serikali inasema watu wengine 63 hawajulikani waliko huku zaidi ya watu elfu 60 wakiwachwa bila makao. Na kama Willy Lusige anavyoarifu, serikali sasa imewaagiza wakazi wa maeneo 59 ya eneo la Tana yaliyoshikana na bwawa la Seven Folks kuhama mara moja kuepuka hatari ya mafuriko.