Mafuriko yasababisha shule kufungwa na wakaazi kuhama Lokichogio

  • | Citizen TV
    200 views

    Mvua kubwa inayoendelea kunyesha katika mipaka ya kaunti ya Turkana imesababisha Shule pamoja na nyumba zaidi ya arobaine kuharibiwa na mafuriko katika kijiji cha Lopiding huko Lokichogio Turkana magharibi .