20 Mar 2026 1:10 pm | Citizen TV 6,917 views Duration: 2:02 Wakulima na wakazi wa kijiji cha Nyamigwi, katika eneo la Mabera kaunti ya Migori wamepata hasara kubwa baada ya mvua kubwa iliyonyesha usiku wa kuamkia leo kuharibu mashamba ya mahindi pamoja na mali