Mafuriko yasomba nyumba za familia 150 Karachuonyo

  • | Citizen TV
    527 views

    Familia zaidi ya 150 zimelazimika kuhama kwao kutokana na mafuriko baada ya mto Tende kuvunja kingo zake huko karachuonyo kaunti ya Homa Bay.