Magari 1000 yaliyokiuka sheria yanaswa, NTSA yaanzisha msako unaolenga kupunguza ajali

  • | KBC Video
    77 views

    Idadi ya watu walioaga dunia kutokana na ajali za barabarani nchini iliongezeka hadi 1090 katika kipindi cha hadi tarehe 24 mwezi huu ikilinganishwa na 1012 katika kipindi sawa na hicho mwaka uliopita. Wakati huo huo maafisa wa halmashauri ya kitaifa ya uchukuzi na usalama barabarani leo walinasa magari elfu- moja kwa kutotii kanuni za trafiki. Mwanahabari wetu Joseph Wakhungu anatuarifu zaidi.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive