Magari ya kusafirisha wagonjwa yawasilishwa Kajiado

  • | Citizen TV
    268 views

    Vifo vinavyotokana na changamoto za kina mama kujifungua katika Kaunti ya Kajiado vinatarajiwa kupungua kwa asilimia kubwa baada ya wizara ya afya katika kaunti hiyo kupokea msaada wa ambulensi 6 kutoka kwa shirika la KOICA nchini Korea