Magari yakiwa na wafungwa wa Kipalestina yaonekana yakiondoka katika Gereza

  • | VOA Swahili
    177 views
    Basi na magari mengine ya usalama yaonekana yakiondoka katika gereza la Ofer katika Ukingo wa Magharibi siku ya Ijumaa usiku na wafungwa wa Kipalestina baada ya kuachiliwa kama sehemu ya makubaliano ya kutafuta suluhisho kati ya Israel na Hamas.