Magatuzi I Chuo kikuu cha Rongo na chuo cha Wilfrid Laurier waanzisha mpango wa kuelimisha wakulima

  • | KBC Video
    17 views

    Chuo kikuu cha Rongo kwa ushirikiano na chuo cha Wilfrid Laurier nchini Canada vimeungana kuanzisha mpango wa miaka saba wa kuelimisha wakulima kuhusu mbinu za kisasa za uzalishaji na uuzaji mazao. Mpango huo unanuia kutumia vyombo vya habari humu nchini kupaza sauti kwa wakulima na kusambaza ujumbe muhimu kwa lengo la kushughulikia mapungufu yaliyopo kwenye shughuli za uzalishaji chakula. Taarifa kamili ni kwenye meto wa kaunti

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive