Magatuzi I Kaunti ya Makueni kujitolea kuendeleza elimu katika eneo hilo

  • | KBC Video
    9 views

    Mkuu wa idara ya elimu wa kaunti ya Makueni Elizabeth Muli, amekariri kujitolea kwa kaunti hiyo kuendeleza elimu katika eneo hilo. Kupitia mikakati mitatu muhimu ambayo ni pamoja na ukuzaji vipaji, uimarishaji wa miundombinu na ukuzaji wa rasilimali watu, Muli aliangazia ari ya kaunti hiyo katika kukuza ubunifu na ubora katika elimu. Taarifa zaidi ni kwenye mseto wa magatuzi.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive