Magatuzi: Mbunge wa Lugari Ayub Savula amshtumu gavana wa Kakamega Wycliffe Oparanya

  • | KBC Video
    Mbunge wa Lugari Ayub Savula amemshtumu gavana wa Kakamega Wycliffe Oparanya kwa madai ya kujaribu kutenganisha jamii ya Waluhya . Oparanya anashtumiwa kuwa adui wa kisiasa kwa madai ya kuhakikisha jamii hiyo haitazungumza kwa sauti moja. Kwa habari hizi huu hapa mseto wa magatuzi Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #KBCchannel1 #KBCNewsHour #KBClive