Magatuzi: Mizozo yazuka Imenti Kusini kutokana na pendekezo la kubuniwa kwa kaunti ndogo zaidi

  • | KBC Video
    Mizozo imezuka kati ya wakazi wa eneo la Imenti Kusini kutokana na pendekezo la mpango wa maridhiano wa BBI la kubuniwa kwa kaunti ndogo zaidi ambayo pia itakuwa eneo bunge jipya katika eneo hilo. Wazee wamesema eneo bunge moja zaidi litatimiza maslahi ya kibinafsi. Kwa hizi na habari hizi na nyingine katika mseto wa habari zetu za magatuzi. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #KBCchannel1 #KBCNewsHour #KBClive