Magatuzi: Wakenya wahimizwa kushirikiana na asasi za usalama katika kukabiliana na uhalifu

  • | KBC Video
    111 views

    Msaidizi mkuu wa inspekta jenerali wa polisi aliyestaafu Omar Abdi Shurie ametoa changamoto kwa umma kushirikiana na asasi za usalama katika kukabiliana na uhalifu humu nchini. Shurie alisema kusaidiana katika kutoa taarifa kati ya wananchi na polisi kutafanikisha kupunguza visa vya uhalifu . Mengi zaidi ni katika mseto wa Magatuzi

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #Kenya #News