Magatuzini I Bangi ya thamani ya shilingi milioni-3 yanaswa Kayole

  • | KBC Video
    4 views

    Madarasa mawili ya chekechea yaliyojengwa kwa gharama ya shilingi milioni 2.9 yamefunguliwa katika shule ya msingi ya Mukemo, kaunti ya Busia kwenye sherehe iliyosheheni mbwembwe na shangwe kutoka kwa wanafunzi na wazazi. Madarasa hayo yamejengwa kwa ushirikiano wa wazazi, shirika la AICCAD, na lile la Help a Child Africa. Taarifa kamili ni kwenye mkusanyiko wa Dira ya Kaunti.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive