Magatuzini I Wanahabari Busia wahimizwa kutilia maanani afya yao ya kiakili

  • | KBC Video
    1 views

    Wanahabari wanahimizwa kutilia maanani afya yao ya kiakili, kwani changamoto za afya ya akili zinazidi kuwaathiri wale walio katika taaluma ya habari. Kikao maalum cha mafunzo kilifanyika katika Kaunti ya Busia ili kuwapa wanahabari ujuzi wa kudhibiti mfadhaiko na kiwewe mara kwa mara wanapotekeleza majukumu yao. Mafunzo hayo yaliyoandaliwa na Dhamira Moja yaliwaleta pamoja wanahabari wa humu nchini kwa mafunzo ya kina kuhusu kudhibiti msongo wa mawazo wanapokuwa wakifanya kazi nyanjani. Taarifa kamili ni kwenye mseto wa kaunti.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive