Magatuzini: Taarifa mseto kutoka mashinani

  • | KBC Video
    Zaidi ya watu elfu nne mjini Mombasa walipokea huduma za matibabu bila malipo yaliyotolewa na wanamaji wa humu nchini wakishirikiana na wenzao kutoka Pakistan. Kwingineko, maafisa wa usalama wametakiwa kuweka vituo vya kuimarisha mawasiliano kwa lengo la kuboresha usalama. Kwa hizo na taarifa nyingine ni kwenye mseto wa magatuzi. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #KBCchannel1 #ThisIsKBC #News