Magavana kuchukuua hatua kwa madaktari iwapo hawatasitisha mgomo

  • | K24 Video
    95 views

    Wakati huo huo baraza la magavana limesema iwapo serikali kuu itaafikiana na madaktari kuhusu ongezeko la mishahara basi watahitaji mgao zaidi kutoka kwa bajeti ya taifa. Kulingana nao madakatari wamekiuka maamuzi ya korti kuhusu mgomona hivyo watawachukulia hatua za kinidhamu.