Magavana na Madiwani Kakamega hawajatekeleza maendeleo wanajigawia pesa za kaunti -Ambrose

  • | TV 47
    15 views

    "Tangu tupate Katiba mpya, magavana na madiwani wa Kakamega wote ni wa chama cha ODM, lakini hawajatekeleza maendeleo. Pesa zinapowasili kuhusiana na kaunti, 'baba' lazima agawiwe kitu fulani, kisha akigawiwa pia wao wanataka kujigawia wenyewe. Ni lini vijana watafaidika kutokana na ugatuzi? -Ambrose Andal Ochieng', Kiongozi wa Vijana

    #TV47Matukio

    Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.'

    *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __

    Connect with us:

    Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __