Skip to main content
Skip to main content

Magavana walalamikia uhaba wa fedha katika tathmini ya ugatuzi

  • | Citizen TV
    238 views
    Duration: 2:00
    Magavana wanatathmini mafanikio na changamoto za ugatuzi tangu kuasisiwa kwa katiba ya mwaka wa 2010. kwenye tathmini hiyo, magavana wanalalamikia pengo lililopo kati ya majukumu ya serikali za ugatuzi na fedha zinazofaa kuandamana na majukumu hayo.