- 860 viewsDuration: 1:42Magavana pia leo wameendelea kumkumbuka Raila Odinga wakimtaja kama shujaa aliyepigania ugatuzi hadi mwisho wake. Mwenyekiti wa baraza la magavana Ahmed Abdullahi kwenye kikao na wanahabari amesema magavana wameazimia kuendelea kutoaheshima zao kwa kuheshimu kumbukumbu na nyayo zake