Magavana wanataka pesa kuwezesha kutekeleza masuala amabayo yameibuliwa

  • | Citizen TV
    166 views

    Magavana wameiambia kamati ya seneti kuhusu fedha na bajeti kuwa wanahitaji shilingi bilioni tano nukta nane ili kutekeleza masuala ambayo yameibuliwa na madaktari. Mwenyekiti wa baraza la magavana ann waiguru amesema kuwa magavana hawawezi kuwafuta kazi madaktari wanaogoma ilhali hawana pesa za kufanikisha mkataba wa makubaliano.