Magavana washtumu wahudumu wa afya kwa kuwatelekeza wagonjwa

  • | KBC Video
    26 views

    Magavana wamesisitiza kwamba wafanyakazi wote wa afya wanaogoma ni sharti wachukuliwe hatua za kinidhamu kwa madai ya kususuia kazi zao. Mwenyekiti wa kamati ya afya ya baraza la magavana Muthomi Njuki amesema kuwa wahudumu wa afya wakiwemo madaktari wanawasababishia wagonjwa mateso licha ya maagizo kadhaa ya mahakama kwamba warejee kazini. Haya yanajiri huku shinikizo zikiongezeka kwa serikali kukomesha mzozo wa sekta ya afya.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #Kenya #News