Skip to main content
Skip to main content

Magavana wataka Ilchamus kuteuliwa Bungeni

  • | Citizen TV
    999 views
    Duration: 1:36
    Magavana watatu kutoka jamii ya maa katika kaunti za Kajiado, Narok na Samburu wamesema kuwa wataunga mkono mkono chama cha kisiasa ambacho kitatoa nafasi ya uteuzi katika bunge la kitaifa au Seneti kwa jamii ya Ilchamus inayotoka kaunti ya Baringo.