Magavana watatu wa Ukambani wakutana

  • | Citizen TV
    1,477 views

    Magavana watatu wa kaunti za ukambani wamefanya mkutano wa kutafuta mbinu za kutatua changamoto zinazowasibu wakazi wa kaunti hizo na haswa masuala ya miundomsingi, maji, mazingira na afya. kupitia muungano wa kiuchimi wa eneo la ukambani -SEKEB- magavana hao wamelezea kusikitishwa kwao na jinsi serikali inavyojivuta kusafisha mto Athi ambao unawaathiri wakaazi wengi wa eneo ka ukambani ambao hutegemea maji ya mto huo.