Skip to main content
Skip to main content

Magavana wawahimiza wakazi wa k.mashariki kujisajili kuwa wapigakura

  • | Citizen TV
    489 views
    Duration: 2:02
    Baadhi ya magavana wahudhuriao kongamano la ugatuzi mjini garissa, wawahimiza wakazi wa kaskazini mashariki kujiandikisha kwa wingi kuwa wapigakura ili kuwa na usemi katika uchaguzi mkuu ujao.