Mageuzi kwenye baraza la mawaziri

  • | K24 Video
    Rais Uhuru Kenyatta amemtema nje waziri wa kilimo Mwangi Kiunjuri katika mabadiliko kwenye baraza la mawaziri huku aliyekuwa seneta wa Nyeri Mutahi Kagwe akiteuliwa kama waziri wa afya na Betty Maina akiteuliwa waziri wa viwanda  Rais alitangaza mabadiliko haya alipokuwa ikulu ya Mombasa akisema yanalenga kuboresha utoaji huduma kwa wakenya.