Mageuzi Sekta ya Elimu I Gachagua ataka mapendekezo ya jopo kutekelezwa

  • | KBC Video
    34 views

    Naibu rais Rigathi Gachagua amezihimiza wizara ya elimu na tume ya kuwaajiri walimu nchini, (TSC) kuanzisha kwa pamoja jopo litakaloongoza utekelezaji wa mapendekezo ya jopo kazi la kirais kuhusu marekebisho ya sekta ya elimu. Akizungumza kwenye mkutano na viongozi wa taasisi hizo mbili jijini airobi, Rigathi alisema kuwa marekebisho sambamba yatasambaratisha hali.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive