Skip to main content
Skip to main content

Magonjwa 7 hatari zaidi kuwahi kutokea duniani

  • | BBC Swahili
    6,046 views
    Duration: 2:09
    Kuna magonjwa mengi yaliyowahi na yanayoendelea kutikisa dunia kama vile Ebola, Covid 19 na mengine. Magonjwa haya 7 yanachukuliwa kuwa ni hatari zaidi kutokana na kusababisha vifo vya watu wengi katika historia ya magonjwa duniani, ingawa mengine yameanza kudhibitiwa. @kenanivictor anayaelezea kwa kina #bbcswahili #ebolavirus #afya Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw