Magwiji wa utangazaji waenziwa kwa mchango wao katika tasnia ya uanahabari

  • | KBC Video
    13 views

    Magwiji wa zamani wa utangazaji kwenye shirika la utangazaji nchini, KBC, sasa watajumuishwa kwenye chapisho la kitabu cha kumbukumbu za Kenya la mwaka huu yaani Kenya Year Book. Akitoa agizo hilo, waziri wa teknolojia ya habari na mawasiliano Eliud Owalo,alisema watangazaji hao wa zamani wanafaa kuenziwa kutokana na mchango wao mkubwa, sio tu katika tasnia ya habari, bali katika jamii kwa jumla. Aliongea wakati mkutano wa kiamsha kinywa na magwiji hao wa zamani wa shirika la utangazaji nchini, KBC

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive