Mahakama Florida yapiga marufuku utoaji mimba iliyopita miezi sita

  • | VOA Swahili
    65 views
    Mahakama ya Juu ya Florida wiki iliyopita ilifungua njia ya kupiga marufuku utoaji mimba iwapo mama atakuwa ameibeba kwa zaidi ya wiki sita marufuku ambayo itaanza kutekelezwa mwezi Mei. Lakini kuna hatua nyingine ambayo iliwekwa na mahakama hiyo. Ungana na mwandishi wetu kwa taarifa kamili... #mahakamayajuu #mahakama #marufuku #utoajimimba #uchaguzimkuu #uamuzi #maandamano #raiswazamani #donaldtrump #rais #JoeBiden #Warepublikan #wademokratiki