Mahakama imebailisha sheria ya bima mpya ya afya na kuitaja kuwa kinyume na katiba.

  • | Citizen TV
    614 views

    Majaji watatu wametoa uamuzi na kusema kuwa sheria hiyo inayojulikana kama social health insurance act haikufuata mwongozo w akatiba kwani umma haukuhusishwa kwenye maamuzi kuhusu sheria hiyo