Mahakama imesitisha uingizaji wa vyakula kisaki nchini

  • | Citizen TV
    571 views

    Mahakama kuu imesimamisha kwa muda uingizaji na usambazaji wa vyakula kisaki nchini. Uamuzi huu wa mahakama ukifuatia kesi iliyowasilishwa mahakamani na shirika moja la kijamii linalopinga kuondolewa marufuku ya vyakula hivyo vya GMO nchini kwa kuwa wakenya hawakuhusishwa. marufuku hayo yanajiri huku waziri wa kilimo Mithika Linturi na mwenzake wa biashara Moses Kuria wakionekana kutofautiana kuhusiana na uingizaji mahindi hayo humu nchini.