Mahakama imewahukumu kifungo cha miaka 30 watu wawili waliohusika na shambulizi la Dusit

  • | Citizen TV
    4,637 views

    Mahakama imewahukumu kifungo cha miaka 30 watu wawili waliopatikana na hatia ya kuhusika na shambulizi la kigaidi la hoteli ya Dusit ambapo watu 21 waliuawa. Uamuzi huu wa leo uliotolewa mahakama ya Kahawa imejiri miaka sita baada ya tukio.