Skip to main content
Skip to main content

Mahakama Kenya yasitisha kufunguliwa kwa hospitali ya ebola ya Marekani

  • | BBC Swahili
    10,911 views
    Duration: 1:28
    Mahakama ya Kenya imesitisha kwa muda kufunguliwa kwa kituo cha karantini cha Ebola kinachohusishwa na Marekani na kuzuia serikali kupokea au kuwaruhusu wamarekani walioambukizwa na virusi vya Ebola, hadi shauri lililowasilishwa lisikilizwe. Kituo hicho kilikuwa kimepangwa kufungulia leo katika kambi ya jeshi huko Laikipia kufuatia mazungumzo kati ya waziri wa maswala ya nje wa Marekani Marco Rubio na rais William Ruto wa Kenya. #bbcswahili #ebola #ebolavirus Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw