Skip to main content
Skip to main content

Mahakama kuamua hatma ya kesi ya Gachagua kuhusu kutimuliwa Agosti 8

  • | Citizen TV
    2,899 views
    Mahakama kuu tarehe 8 mwezi ujao itaamua iwapo aliyekuwa naibu rais Rigathi Gachagua alitimuliwa kwa njia ya haki na bunge la Seneti mwaka wa 2024. Hii ni baada ya pande zote husika kwenye kesi hiyo kukamilisha rasmi shughuli ya kuwasilisha hoja zao mbele ya majaji Eric Ogolla, Antony Mrima na Frida Mugambi,Ijumaa katika mahakama ya Milimani.