Mahakama kuu imeongezea muda wa kuzuia serikali ya kaunti ya Nairobi kuongeza ada ya kuegesha magari

  • | KBC Video
    Mahakama kuu imeongezea muda maagizo ya kuizuia serikali ya kaunti ya Nairobi kuongeza ada ya kuegesha magari ya binafsi kutoka shillingi 200 hadi shillingi 400. Jaji Anthony Mrima pia imeongeza muda agizo la kuizuia serikali hiyo kuongeza ada ya kuegesha ya uchukuzi wa abiria.Chama cha watumiaji bidhaa na kile cha wamiliki wa matatu viliwasilisha ombi mahakamani kupinga hatua hiyo,vikisema maoni ya wakazi hayakuzingatiwa. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #KBCchannel1 #KBCNewsHour #KBClive