Mahakama kuu inatoa uamuzi wake kuhusu kesi ya sheria ya fedha 2023

  • | Citizen TV
    1,532 views

    Mahakama kuu leo inafanya uamuzi kuhusiana na kesi iliyowasilishwa mahakamani kupinga sheria ya fedha ya mwaka wa 2023. Majaji David Majanja, Christine Meoli na Lawrence Mugambi wanatarajiwa kutoa uamuzi kuhusiana na kesi hizi zilizojumuishwa pamoja. Kesi hizi ziliwasilishwa mahakamani na miongoni mwa wengine seneta wa Busia Okiya Omtata na wengine sita, kupinga uamuzi huo uliotoa mapema mwezi Julai.